Ijumaa ya leo nimeona ni heri nitumie maisha ya binti yangu Angel Wanjiru kama njia ya kuwapa moyo katika safari hii ya maisha. Safari ya maisha huwa na panda shuka sio haba, na ndio maana ni sharti ...
Binti yake wa miaka kumi na minne alipoanza kuzungumza na vijana wengine kwenye mtandao, mama yake hakuwa na wasiwasi sana. Lakini wiki chache tu baadaye, Christina (sio jina lake halisi) aligundua ...
Harusi kubwa iliyokuwa imepangwa katika jimbo la Niger, kaskazini mwa Nigeria ilipaswa kuwa na wachumba 100 kuozwa kwa wakati mmoja. Ingawa mpango huo ulikosolewa vikali matukio kama haya kufanyika ...