Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa. Katika hali kama hiyo, swala la kununua gari mpya kabisa au kununua gari lililotumika ...