Ziara ya kwanza ya kigeni ya kiongozi wa mpito wa Venezuela anayoungwa mkono na Marekani tangu Delcy Rodríguez imeghairishwa ...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo ameibuka na kusema ajali ya gari iliyompata siku 18 zilizopita katika eneo la ...
Chama kipya kiasi kinaonekana kuelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa Machi 5 nchini Nepal. Chama cha Rastriya Swatantra, RSP kinamuunga mkono msanii wa kufoka aliyegeuka kuwa mwanasias ...
Afisa wa zamani katika utawala wa kwanza wa Rais wa Marekani Donald Trump anasema kwamba uungwaji mkono kwa Iran kutoka China na Urusi unaonekana kuwa mdogo baada ya Iran kushambulia majirani zake wa ...
Chad imefunga mpaka wake na Sudan, inayokabiliwa na vita kwa lengo la kuthibitisha tena kutoegemea upande wowote katika mzozo huo mbaya licha ya shutuma za kuwaunga mkono wanamgambo wa Sudan.
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Bunge Marathon na Bunge Bonanza, Festo Sanga, ametangaza kuwa mbio za Bunge Marathon msimu wa ...
Tangu kuanza kwa vita kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, nchi zinazotawaliwa na wanajeshi barani Afrika zimebaki bila kuegemea upande wowote. Waziri Mkuu wa Mpito wa Mali alitoa salamu zake ...
Kadri Nicolás Maduro na mkewe Cillia Flores wanavyokabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya na silaha huko New York, wataalamu wanaulizana kama kukamatwa kwa kiongozi wa Venezuela kuna maanisha nini ...