Kiasi gani ni kupita kiasi? Hilo ndilo swali ambalo wengi nchini India wanauliza huku sherehe za harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri mkubwa zaidi barani Asia, ikiingia awamu ya mwisho. Sherehe hizo ...
Hatimaye ile sherehe ya harusi ya dansa mkongwe wa bendi ya Fm Academia, Aaliyah Moses iliyokuwa inasubiriwa kwa shauku kubwa ...
Maelezo ya picha, "Furaha yangu haitegemei" mwanamume, anasema Laura Mesi, ambaye anadai kuwa mwanamke wa kwanza wa Kiitaliano kujioa mwenyewe. Hebu tafakari kula kiapo cha ndoa yako mwenyewe kwa ...
Mwanamfalme Harry atamuoa mchumba wake Meghan Markle katika sherehe kubwa leo Jumamosi katika kanisa la Kifalme la Mtakatifu George ndani ya kasri la Windsor. Mamilioni ya watazamaji katika ...
Takriban watu 50 wameuwawa Jumamosi(20.08.2016) wakati anayetuhumiwa kuwa mripuaji wa kujitowa muhanga alipojiripuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakicheza ngoma mtaani wakati wa sherehe ya harusi ...
Naibu Gavana wa mkoa huo Hassan al-Allaq, amethibitisha kuuawa kwa watu, na kueleza kuwa moto huo ulianza saa nne usiku siku ya Jumannne wakati wakiwa kwenye sherehe ya harusi. Kutokana na majeraha ...
Pete ni pambo livaliwalo na wanawake sana sana vidoleni ili kuleta umaridadi fulani. Hivyo basi, si wote walio na pete ambao huwa wameolewa. Wapo wanawake ambao wamekopa tabia ya kuvaa pete vidoleni.