Wataalamu wa lishe wanasema samaki ni chakula kizuri kwa afya. Lakini sasa wanasayansi na wataalam wanasema kwamba wanawake wajawazito wanapaswa kula kitoweo hiki kwa kiasi kidogo. Wakati ambapo ...
Muuzaji wa samaki Mechak Juma anapendelea kutowaambia wateja wake samaki anazouza zinatoka Uchina. Tuko katika soko kubwa zaidi la samaki katika mji wa Kisumu, magharibi mwa Ziwa Viktoria, ziwa kubwa ...
While Samaki Walker only played two seasons with the late, great Kobe Bryant, that time was more than enough for him to know the legendary shooting guard at a deeper level. In July 2001, after joining ...
Katika miaka ya hivi karibuni, kina cha maji ya Ziwa Turkana kimeongezeka na kuyatatiza maisha ya wanakijiji na wavuvi. Baadhi wamelazimika kusogea na idadi ya samaki imepungua kwani wanajificha ...
Rhoda Mwende holds a parent catfish she uses to breed fingerlings, on her land in Kanyonga village, Mbeere, Kenya. TRF/Isaiah Esipisu MBEERE, Kenya (Thomson Reuters Foundation) – Wakulima katika ...
Kwa miaka mingi taka inayotoka kwa samaki na viumbe vingine kwenye ziwa, imekuwa ikichafua mazingira na kusababisha samaki wengi kukosa hewa ya oxigeni hivyo kufariki na kusababisha hasara kubwa.Hata ...
Wafanyabiashara wa samaki katika soko la samaki la Kimataifa la Ferry Jijini Dar es Salaam wameelezea kusuasua kwa biashara zao siku chache baada ya kuripotiwa mabadiliko ya hali ya hewa na viuashiria ...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeonya kuhusu hatari iiliyopo katika wakati ambapo theluthi ya bahari duniani ikikakabiliwa na athari za uvuvi uliopitiliza, huku mahitaji ya samaki yakisalia kuwa juu ...