Bara la Afrika linatajwa kuwa maskini zaidi duniani, huku umaskini wa bara hilo ukichangiwa na hali ya uchumi kuyumba, ukosefu wa usalama, ufisadi, vita vya wenyewe kwa wenyewe na vitendo vya kigaidi ...
Mkuu mpya wa Benki ya Dunia Ajay Banga, amesema pengo linalozidi kati ya mataifa tajiri na maskini linatarisha kuongeza umaskini katika ulimwengu wa mataifa yanayoendelea. Banga ameyasema hayo katika ...