Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, ilitangaza hadharani siku ya Ijumaa, Juni 21, hati ya kukamatwa dhidi ya mwanajihadi wa Mali Iyad Ag Ghaly. Kiongozi wa Ansar Dine anashukiwa kwa uhalifu dhidi ...