Hali ya wasiwasi inaendelea kuripotiwa nchini Chad, hususan katika mji wa Korbol, kusini mwa nchi baada ya kuripotiwa vifo kadhaa kufuatia makabiliano makali kati ya vikosi vya ulinzi vya Chad na waas ...